Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, kabla ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu namna ya uboreshaji wa Sekta ya Utalii na Huduma za Jamii katika Ukanda wa Kusini.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)
EmoticonEmoticon