Naibu Waziri wa Wizara ya Mali asili na Utalii ,Japhet Ng ailonga Hasunga ameutaka uongozi wa Wakala wa Hudumaza Misit u Tanzania(TFS) kuhakikisha s hughuli zozote zaKibinadamu ha zifanyiki Msituni na zoezi hil o lisiathiri amakudhuru Binada mu waliokiuka Sheria hizo kwa ni kazi kubwaya Wakala wa hudu ma za misitu ni Uhifadhi.
Amef afanuakwamba anayahesabu Mafan ikio ya wakala wa huduma zaMis itu wakifanikiwa Uhifadhi na si kukamata Mazao ya Misituyal iyosababisha Uharibifu.
Hasunga ametoa agizo hil o wakati alipotembelewa naBod i ya ushauri ya Wizara ya mali asili na Utalii kwa wakala wa wa huduma za Misitu ambayo ili ongozwa na Esther Mkwizua mbao waliwasilis ha Pongezi zao kwa uteuzi laki ni piawalimpatia changamoto kubwa inayowakabili Wakala waHud uma za Misitu kuwa ni watumish i kwani kitaaalam afisaMisitu mmoja anatakiwa kuhifadhi hekt a 500 za msitu wa asiliwakati kwa msitu wa kupandwa afisa mi situ mmoja anatakiwakusimamia hekta 10,000 lakini kutokana n a upungufu wawatumishi hivi sa sa afisa misitu mmoja anasima mia zaidi yahekta 10,000.
Katika hatua nyingine wajumbe wa Bodi wamemueleza naibuwazir i huyo kwamba Tanzania inayo fursa kubwa sana yakufanya viz uri kwenye Mazao ya Nyuki amba po kwa sasa ninchi yakwanza kw a Uzalishaji wa Ntawakati inas hika nafasi ya pili kwa Uzalis haji wa Asali katika Bara la afrika. Hukuikitajwa kuwa n a Mazao Bora ya nyuki ambapo s oko lake katikaNchi za ulaya n i kubwa sana.
Imeelezwa kwamba katika Nchi 5 za afrika ambazo zinasafiris haMazao ya Nyuki Nchi za Ulaya , Tanzania ina kibali hicho hata hivyo changamoto imebaki kuwa uzalishaji wa Mazao ya Nyukiha ujaimarishwa vya kutosha japok uwa kumekuwa na Mazingirayote yanayowezesha Uzalishaji.
Alipokuwa akifanya Majumuisho Naibu waziri amewatakaWakala w a Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kuhakikishawanabuni mbin u zitakazowezesha kumaliza mig ogoro ya Misituna wananchi. Hi vi karibuni kumekuwa na Shughu li za kuondoashughuli za Kibin adamu zinazoendelea kwenye Mis itu yaHifadhi ambapo utaalam u naonesha kwamba endapo shughul ihizo zikiachwa ziendelee kuta kuwa na uharibifu wa vyanzo vy amaji, mzunguko wa hewa utaahi ribiwa, Rutuba ya udongoitavur ugwa jambo ambalo litaaathiri maisha ya binadamu mojakwa moj a.