Wadau wakutana Jijini Mwanza kujadili changamoto za uchumi

October 17, 2017
Makamu wa Rais wa TCCIA, Joseph Kahungwa akizungumza kwenye majadiliano hayo.
 Binagi Media Group
Mafunzo ya majadiliano yaliyoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo TCCIA mkoa wa Mwanza, yametamatika hii leo Jijini Mwanza.

Majadiliano hayo yalianza jana Oktoba 16,2017 kwa kuwahusisha wadau wa sekta za umma na binafsi ili kujadili changamoto za kiuchumi mkoani Mwanza kwa ajili ya kuzitafutia ufumbuzi.

Tunaye Makamu wa Rais wa TCCIA nchoni ambapo anazungumzia majadiliano hayo kwa kina.
Mwenyekiti wa TCCIA, Elibariki Mmari akizungumza wakati wa majadiliano hayo
Mwenyekiti wa TCCIA, Elibariki Mmari (kushoto) akizungumza wakati wa majadiliano hayo. 

Enock Ugulumu ambaye ni mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya majadiliano hayo
Washiriki wakichangia mada
Bonyeza HAPA habari ya ufunguzi

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »