Tigo yatoa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'nunua simu na ushinde

October 07, 2017

Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimkabidhi zawadi ya seti ya televisheni  Amina Nachunga, mojawapo ya washindi wa promosheni ya nunua simu na ushinde  jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi sita wamejinyakulia zawadi za luninga na pikipiki katika promosheni hiyo inayoendelea, ambapo Tigo inawazawadia wateja wake wanaonunua simu aina ya Tecno S1 na Tecno R6 kutoka kwa maduka ya Tigo nchini kote.
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) akimkabidhi zawadi ya pikipiki Amina Khalfan, mojawapo ya washindi wa promosheni ya nunua simu na ushinde  jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi sita wamejinyakulia zawadi za luninga na pikipiki katika promosheni hiyo inayoendelea, ambapo Tigo inawazawadia wateja wake wanaonunua simu aina ya Tecno S1 na Tecno R6 kutoka kwa maduka ya Tigo nchini kote.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »