Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Nyakato
nje kidogo ya jiji la Mwanza mara baada ya kufungua kiwandaa cha Sayona
Drinks ltd kilichopo Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Katikati
ya jiji la Mwanza wakati akitokea Nyakato.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati mmiliki wa
Kiwanda cha Sayona Drinks Subhas Patel alipokuwa akionesha bidhaa
mojawapo ya kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Mke wake
Mama Janeth Magufuli pamoja mbunge wa Ilemela Angelina Mabula wakati
Kwaya ya Makongoro ilipokuwa ikitumbuza katika viwanja vya Mwatex
Nyakato jijini Mwanza
Kwaya ya Makongoro ikitumbuiza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini wimbo wa
kwaya ya Makongoro kabla ya kuhutubia mamia ya wananchi Nyakato mkoani
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wananchi wa Nyakato
mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuagana na Wananchi wa
Nyakato mara baada ya kumaliza kuwahutubia. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuagana na Wananchi
wa Nyakato mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Sayona
Drinks kilichopo Nyakato jijini Mwanza.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon