Msanii wa
Muziki wa Bongo Flava kutoka New Talents Tanzania (NTT) Helton Dickson akiwa katika harakati za
kutafuta njia ya kutokea kupitia Muziki, amefunguka na kumwaga Mistari yake
huku akiwa na hisia kali kwenye mashahiri yake.
Msanii huyo
ameiambia Super News TV kuwa kwa sasa anauchungu na hasira ya kufa mtu katika muziki,
hivyo anaamini uwezo wake katika kipaji chake cha kuimba na kutunga vinaweza
kumfikisha mbali endapo atapata usimamizi mzuri yaani Management.
Kwako mdau
wa muziki tazama na kusikiliza uwezo wa msanii Helton kupitia video hii, ukilidhishwa
na uwezo wake unaweza kumsaidia kwa namna moja manyingine kupitia namba hii
0658161950.
EmoticonEmoticon