Mkuu
wa kitengo cha malipo ya kiditali wa bank ya UBA Tanzania, Mr.
Priscussy Kessy akiongea na baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki hio
wakati wa uzinduzi wa Kadi za Mastercard zitakazoanza kutolewa kwa
wateja wa UBA Bank Tanzania.
Mkurugenzi
mkuu wa bank ya UBA Tanzania, Mr Peter Makau akizungumza wakati wa
uzinduzi wa huduma mpya ya kadi za mastercard kwa wateja wa bank hiyo ya
UBA Tanzania
Mkurugenzi Mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (kushoto)
akikata utepe na mkurugenzi mkuu wa bank ya UBA Mr Peter Makau (kulia)
kuashiria uzinduzi wa huduma mpya ya kadi za mastercard kutoka Benki ya
UBA Tanzania.
Mkurugenzi mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (wa pili kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa bank ya UBA Tanzania Mr Peter Makau (wa pili
kushoto)wakikata keki kuashiria uzinduzi wa huduma hio ya kadi za
mastercard ya bank ya UBA Bank uzinduzi uliofanyika leo katika tawi la
benki hio lililopo barabara ya Pugu
Mmoja
wa wateja wakubwa wa benki ya UBA Tanzania, Mr Jitendra Kumar Bhardwayi
akizungumzia ujio wa mastercard ya UBA Bank ambayo amesema itamsaidia
katika kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao na kumrahisishia shughuli
zake za kibiashara
Baadhi ya wafanyakazi wa UBA bank Tanzania wakifurahi mara baada ya uzinduzi huo wa kadi za Mastercard za UBA Bank.
Wafanyakazi wa benki ya UBA wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa kadi za mastercard kutoka benki ya UBA leo
Wafanyakazi
wa benki ya UBA na baadhi ya wafanyakazi wa Mastercard Tanzania wakiwa
katika picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa Kadi mpya za Mastercard
za benki ya UBA Tanzania.
Na Josephat Lukaza – Lukaza Blog
Leo
Alhamisi tarehe 15 June 2017, Benki ya UBA Tanzania imezindua huduma
yake mpya ya kadi za mastercard ambazo zitaanza kutolewa kwa wateja wake
nchni Nzima. Wakati wa uzinduzi huo Mkuu wa kitengo cha digitali za
benki hio ya UBA Bank Bw Priscussy Kessy amesema kuletwa kwa kadi hizo
za mastercard kwa benki yao itawasaidia wateja wao kufanya manunuzi
kwenye tovuti mbalimbali na pia zitatumika pia kutolea pesa katika
mashine za kutolea pesa zote duniani zenye nembo ya mastercard iwe ndani
ya nchi au nje ya nchi.
Uzinduzi
huo uliohudhuriwa na wafanyakazi wa UBA bank na Mastercard Tanzania
umefanyika katika tawi la UBA Bank lililopo barabara ya Pugu huku baadhi
ya wateja wa benki hio wakipata fursa pia ya kushuhudia uzinduzi huo wa
huduma mpya ya kadi ya mastercard kutoka Bank ya UBA Tanzania.
Benki
ya UBA Tanzania ambayo yenye matawi yake Posta, Kariakoo na Barabara ya
Pugu huku ikiwa na mashine za kutolea pesa sehemu mbalimbali za jiji la
Dar Es Salaam ikiwemo Segerea, Mikocheni, Mabibo na kwingineko.
TAARIFA ZAIDI KUTOKA KWA MKURUGENZI MKUU WA UBA BANK TANZANIA.
TAARIFA ZAIDI KUTOKA KWA MKURUGENZI MKUU WA UBA BANK TANZANIA.
On behalf of Board of Directors UBAT Ltd , UBA Group, and management of UBAT, I wellcome our valued customers, Business partners, and UBA staff to our luanch of MasterCard issuance by UBATZ.
I also take this opportunity to recognise the presence of Mastercard representatives here with us today. Specifically we have with us today Mr. Anthony Karingi Mastercard country manager, and, Amy Etiang Mastercard leader Product management.
This
event is an important milestone for our business objective to
continuously diversify and increase the range of our products and
services to provide efficient and convenient means of serving our
customers.
We
are therefore delighted to now extent our range of products and
services to MasterCard issuance by UBATZ. The Launch of MasterCard
issuance today by UBA Tanzania effectively means that our customer will
now have the benefit of being issued with MasterCard debit cards and
will be able to Benefit from the convenience and good efficiency of
Master Card Global network payments technology and service.
We
would also like to thank MasterCard for partnering with UBA in the
provision of high quality products and services to serve our customers
better. Further , we
look forward to enhancement of our business partnership with with
Mastercard to in future cover other new products services to our
customers.
UBA
is committed to customer Excellence and the launch of Master Card
issuance by UBAT today is confirmation of this commitment.
EmoticonEmoticon