Kiungo kiraka wa Mtibwa Sugar Ally
Shomari amemalizana na uingozi wa Simba na kusaini mkataba wa miaka
miwili kuitumikia klabu hiyo.
Shomari ana uwezo wa kucheza namba mbili, saba, sita kama kiungo mkabaji lakini nane. Pia anaweza kucheza 11 au 10.
Muda wowote kuanzia sasa Ally
Shomari atatambulishwa, amekuwa mchezaji wa saba kusainishwa mkataba na
Simba baada ya Jamal Mwambeleko, Yusuph Mlipili, Aishi Manula, John
Bocco, Shomary Kapombe na Emmanuel Mseja.
EmoticonEmoticon