Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha wageni mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa Bondeni Mjini Kibaha kwa ajili ya
kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha Maili
moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani katika siku ya kwanza ya
ziara yake ya siku tatu
Mkoani humo.
Mmoja wa Wananchi akionesha hisia
zake wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akihutubia Wananchi wa Kibaha Maili moja katika
Viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi Azilongwa
Buhali alipokuwa akimuelezea shida yake mara baada ya kuhutubia wananchi
wa Kibaha Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Kibaha
mjini Silvestry Koka kabla ya kuhutubia Wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa Kibaha Mjini Silvestry Koka kabla ya kuhutubia Wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani.
Wananchi wakishangilia wakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akihutubia mjini Kibaha. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon