Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja
la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkuu wa
Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.
Joseph Nyamhanga, Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete , Katibu wa
Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa
Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
na viongozi wengine wa Kiserikali na Wabunge, akivuta kitambaa
kuashiria jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye
urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo
mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara
baada ya kuweka jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata
yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo
mkoani Pwani.
Sehemu ya barabara ya Bagamoyo-Makofia –Msata kama inavyoonekana pichani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TANROADS mkoa wa Pwani na Dar es
Salaam mara baada ya kufungua barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye
urefu wa kilometa 64. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng.
Evarist Ndikilo, Mama Salama Kikwete, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM
Hamphrey Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu
wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani
Pwani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa
kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.
Mtendaji
Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akielezea hatua za ujenzi wa
Madaraja katika barabara ya Bagamoyo-Msata huku Rais Dkt. Magufuli
akimsikiliza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha Viuadudu cha Kibaha mkoani Pwani.
Mbunge
wa Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa akisalimia kabla ya ufunguzi wa
Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika
eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akizungumza kabla ya
ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa
64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mwenyekiti wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Norman Sigala wakati wimbo wa
Taifa ukipigwa kabla ya ufunguzi wa barabara hiyo ya Bagamoyo-Msata.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
baada ya kufungua kiwanda cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga
Chalinze mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua
kiwanda hicho cha Matunda cha Sayona Fruits kilichopo Mboga Chalinze
mkoani Pwani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wakazi wa Kiwangwa wakati akielekea kufungua barabara ya
bagamoyo-Msata mkoani Pwani. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon