Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya
Utawala Ofisi ya Makamu wa Rais, Samuel Mwashamba akimkaribisha Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ili azungumze na Watumishi wa Ofisi ikiwa
ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Profesa Faustin Kamuzora (katikati) akiongea wakati wa mkutano
wake na Watumishi wa Ofisi yake walioko Dar Es Salaam, ikiwa ni
maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Mmoja wa Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Aidan Mtuhi akichangia maoni yake wakati wa Mkutano huo.
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya
Makamu wa Rais waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi
ya Makamu wa Rais (hayupo pichani)
EmoticonEmoticon