Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala
wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kiushoto
ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa
kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na
yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana
na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza
Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam.Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa
chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
zawadi ya mchoro toka kwa Rais wa Wanafunzi wakati wa sherehe za
kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. . Mabweni hayo yenye uwezo
wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na
yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakati wa sherehe za kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia
ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius
Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa
na na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza
Mukandala wakati akielekea kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa
chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiana
na viongozi wengine akizindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia
ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius
Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo toka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.
Elius Mwakalinga wakati akizindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa
chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa
na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua
majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala Mabweni hayo yenye uwezo wa
kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na
yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
baadhi ya mabweni baada ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa
chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza
Mukandala (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu wa Chuo hicho
Dkt. Kedmon Mapana baada ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa
chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon