Kampuni ya KINGDOM HERITAGE imeandaa event
inaitwa "Discover Your Potential" ni event yenyewe wazungumzaji
wahamasishaji katika mambo ya mipango,maendeleo,ndoto na maono na ujasiliamali.
Watakuwa
wakizungumza mambo kadhaa yatakayotukumbusha kutambua uwezo wetu tulio nao kila mmoja wetu kwa ulivyo na mahala ulipo
na namna ya kuutumia uwezo huo ili kufikia Malengo,Mipango,Ndoto na Maono kila
mmoja.
Ni Jumapili wiki hii ya 30 April 2017 katika Kanisa la Living Water
Centre Kawe Kuanzia saa 9:00 mchana.Usipange kukosa! ni Bureee!
EmoticonEmoticon