Mtaalamu wa sera za ufugaji, Carolyn Kandusi akiongoza shughuli nzima iliyofanyika jijini Arusha. |
Mkurugenzi wa Miradi wa taasisi ya British Council Tanzania,Nesia Mahenge akizungumza katika kongamano la Vijana. |

Vijana kutoka taasisi mbalimbali na vyuo Vikuu katika mkoa wa Arusha na Kilimanjaro wakifatilia kwa makini namna ya kutumia fursa mbalimbali kujiajiri na kuanzisha miradi wakati wa uzinduzi huo. |

Mtaalamu wa masuala ya Mitaji,Baraka Megiroo akiwapa mbinu vijana wenzake namna ya kutumia fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. |
Mtaalamu wa masuala ya kijamii,Hadija Hassan akizungumza na vijana umuhimu wa kujiamini na kuzikabili changamoto mbalimbali,kushoto ni Mtaalamu mwenzake Gladys Mmari na Mary Bird |
Vijana kutoka taasisi mbalimbali na vyuo Vikuu katika mkoa wa Arusha na Kilimanjaro wakifatilia kwa makini namna ya kutumia fursa mbalimbali kujiajiri na kuanzisha miradi wakati wa uzinduzi huo. |
EmoticonEmoticon