Kulia Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akisisitiza jambo kuhusu masuala ya usimamizi
wa mazingira na athari zitokanano na mabadiliko ya tabia nchi. Alipokuwa
akizumza na ujumbe wa kampuni ya Dodsal ulimtembelea Mhe. waziri ofisini
kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo.
Waliosimama katikati mwenye tai ya Blue Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimsikiliza mmiliki
wa kampuni ya kuchimba gas na mafuta ya Dodsal Dkt Rajen Kilichand ,
baada ya mazungumzo yalohusu mausuala ya uzingatiaji wa sheria na usimamizi
wa mazingira, katika suala zina la uchimbaji wa mafuta na gesi. Ujumbe
wa Kampuni ya Dodsal ulimtembelea Mhe. waziri ofisini kwake mtaa wa
Luthuli jijini Dar es Salaam leo.
EmoticonEmoticon