MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ELIZABETH MAYEMBA.

July 11, 2016


Mamia ya Waombolezaji wajitokeza kuaga mwili wa mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Majira marehemu, Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Mwili huo utasafirishwa leo kwenda mkoani Morogoro kwa mazishi.

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara akiaga mwili wa marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Club ya Yanga, Jerry Muro akiaga mwili wa marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
  
 Waombolezaji wakiga mwili wa Marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam leo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »