Wachuuzi wa samaki bandari ya Sahare Tanga wakisubiri wateja.
Kipindi hiki cha mbalamwezi samaki wamekuwa wakipatikana kwa wingi. Ndoo moja
ya samaki aina ya dagaa ilikuwa ikiuzwa shilingi 8,000 wakati fungu moja na
sakami aina ya kibua ni shilingi 1,500.
EmoticonEmoticon