Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
Mbunge wa Viti Maalum, Mary Chatanda akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dr. Rehema Nchimbi (kushoto) na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bnge mjini Dodoma Mei 14, 2015.
EmoticonEmoticon