Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akiwa katika
picha ya pamoja na watoa ushauri.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia jambo
mara baada ya kufungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
katika kituo hicho.
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi,Hajira Mmambe akizungumza kwa niaba ya wadau wa Kwieco wakati wa sherehe hizo.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akikata utepe
kuashiria kuazna kutumika kwa majengo hayo.
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa KWIECO,Jaji Aishiel Sumari
akitoa neno la shukrani mara baada ya hotuba ya mgeni rasmi ,Balozi wa
Finland Tanzania
Mh. Antila Sinikka.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akizungumza
wakati wa uzinduzi
wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia,mradi
unaofadhiliwa na Serikali ya Finland kupitia wizara ya mambo ya nje chini ya
shirika la UKUMBI.
Katibu tawala wa mkoa a Kilimanjaro ,Martha Ufunguo akitoa
salama za mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Leonidas Gama wakati wa
uzinduzi wa kituo hicho.
Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za
binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO) Elizabeth Minde akitoa hotuba yake
wakati wa uzinduzi
wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia. Katika kituo
hicho wahanga watapatiwa malazi ya muda na huduma zingine za kijamii
km matibabu, chakula, msaada wa kisheria, mafunzo ya ujasiriamali
n.k.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya KWIECO ,Clement Kwayu akitoa
neno la ukaribisho kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi Loe Rose Mbise
wakai wa sherehe ya uzinduzi wa kituo hicho.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akifurahia
jambo mara wakati akitembelea majengo ya kituo cha msaada kwa
wahanga wa ukatili wa kijinsia ambayo yamejengwa kwa ufadhili wa
Serikali ya Finland kupitia
wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo chini ya shirika la
UKUMBI.
Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka alikabidhi
kitabu cha "Politics of Gender "kwa mkurugenzi wa Kwieco ,Elizabeth
Minde.
Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa
kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani
Kilimanjaro(KWIECO)wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo
hicho.
Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa
kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO)
akimpokea Balozi
wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka aliyefika kwa ajili ya
uzinduzi
wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa
kijinsia.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
EmoticonEmoticon