Hapa ni mazoezi tu.

April 16, 2013
Kocha Mkuu wa timu ya Yanga,Ernest Brandty akiwa anasimamia mazoezi ya timu hiyo leo kwenye uwanja wa Mkwakwani ambapo timu hiyo kesho inatarajiwa kucheza na Mgambo Shooting kwenye uwanja huo.Picha na Mwandishi wetu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »