Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

REA YAMSHUKURU RAIS SAMIA

July 12, 2025 Add Comment
-Muitiko wa wananchi kutumia nishati safi ya kupikia waongezeka maradufu

Waganga Wakuu wamemtunukia Rais Tuzo, Mhe. Mpango awapongeza, atoa maelekezo mahususi.

July 12, 2025 Add Comment

Na John Mapepele

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake kwenye Sekta ya Afya na Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri hii leo.

BIL 28.4 ZAIMARISHA SEKTA YA ELIMU MKOANI MANYARA KUPITIA MRADI WA SEQUIP

July 12, 2025 Add Comment
Mkoa wa Manyara umepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 28.499 kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu mbalimbali ambayo tayari imeanza kufanya kazi huku mingine ikiendelea na ukamilishaji wa maeneo yaliyosalia.