-Emerging Tanzanian Mining Contractor Showcases Capabilities at 49th Sabasaba Trade Fair
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts
Dkt. Mhede: Serikali Imejipanga Kuhakikisha Mifugo Inapatiwa Chanjo Nchi Nzima
habariNa Daudi Nyingo, Njombe
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede, ameongoza zoezi la utambuzi na uchanjaji wa mifugo mkoani Njombe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo kwa Mifugo iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa mkoani Simiyu hivi karibuni.
VITONGOJI VYOTE 64,359 VITAKUWA NA UMEME IFIKAPO 2030
habari-Hadi sasa vitongoji 33,657 vimefikishiwa umeme sawa na 52.3%
ULUGURU NA PUGU KAZIMZUMBWI ZAIMARISHA USHIRIKIANO KWA UTALII NA UHIFADHI
habariNA EMMANUEL MBATILO, PWANI
HIFADHI ya Mazingira Asilia ya Uluguru kutoka mkoani Morogoro imefanya ziara ya mafunzo katika Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Pugu Kazimzumbwi, kwa lengo la kuwajengea uwezo wadau wa utalii kutoka mkoa huo, sambamba na kuimarisha ushirikiano katika uhifadhi wa mazingira na kukuza utalii wa ikolojia.
GCLA INAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO SABASABA
habariMkurugenzi Mkuu wa Mamlakla ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dkt. Adam Fimbo (kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanya vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)