RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWA MAFUNZO YA UONGOZI KWA WANAWAKE

February 21, 2025

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025.    

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »