Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Ripoti ya
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mezani kwake mara
baada ya kuzipokea kutoka kwa CAG Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati
akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika taarifa hiyo
ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati
viongozi wa Kamati mbalimbali za Bunge walipokuwa wakizungumza mara
baada ya uwasilishwaji wa taarifa hiyo ya CAG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) kwa ajili ya kwenda kuifanyia kazi pamoja na Mawaziri, Manaibu
Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad mara baada
ya kupokea Ripoti yake Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa.
Baadhi ya Mawaziri waliohudhuri
katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali (CAG wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu
Spika Dkt. Tulia Ackson mara baada ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo kabla ya
uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akisoma muhtasari wa muhtasari wa
Taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson
akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Ripoti hiyo ya CAG
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati
akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika taarifa hiyo
ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya
Bajeti Hawa Ghasia akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma
akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es
Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa
Mussa Assad pamoja na wafayakazi mbalimbali kutoka katika Ofisi yake
mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo ya ukaguzi wa hesabu za Serikali
kwa mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2017, Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU