Mwenyekiti wa Bodi ya TBL,Mh.Cleopa Msuya (katikati) akiendesha mkutano mkuu wa 44 wa mwaka wa wanahisa. wengine
pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa AB-InBev Afrika
Mashariki Bruno Zambrano, Mkurugenzi wa Tbl Group ambaye pia ni Rais wa
kitengo cha Biashara Afrika Mashariki AB-InBev,Roberto Jarrin, Mkurugenzi wa bodi ya TBL Group Balozi Ami Mpungwe na Katibu wa TBL Group,Huruma Ntahena (wa pili kulia)
Baadhi ya wanahisa wa Tbl Group wakiwa katika mkutano mkuu wa 44 wa mwaka uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa bodi ya TBL Group ,Balozi Ami Mpungwe (kulia) Katibu na Mwanasheria wa Tbl Group,Huruma Ntahena (katikati) wakibadilishana mawazo.(Kushoto) ni Mwenyekiti wa bodi wa TBL Group,Cleopa Msuya.
Mkurugenzi wa TBL na Rais wa ABINBEV Afrika Mashariki,Roberto Jarrin, akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
Watendaji wa Bodi ya TBL katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahisa waliohudhuria
EmoticonEmoticon