SKIMU 7 ZA UMWAGILIAJI WILAYANI MBARALI ZATOZWA FAINI KWAKUTO ZINGATIA SHERIA YA MAZINGIRA

April 29, 2017
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Kikosi kazi cha kitaifa cha kutathmini  Ikolojia ya Mto Ruaha Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.

Kikosi kazi cha kitaifa cha kutathmini  Ikolojia ya Mto Ruaha kikiwa katika moja ya skimu za umwagiliaji Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »