Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja
na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi
wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi
mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka
jiwe la msingi Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia
jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi
Kigoma na Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
majina ya baadhi ya wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa
Ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya
Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akichota mchanga na kuweka kama ishara ya
kushiriki katika ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Standard Gauge
itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye
kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge
itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye
kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Mama
Janeth Magufuli wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja
Kadogosa wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard
Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye
kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amechuchumaa kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati
akipita katika katika ya mfano wa Reli hiyo itakayojengwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Mfano
wa Reli hiyo ya Kisasa ya Standard Gauge SGR itakayojengwa kuanzia Dar
es Salaam hadi Morogoro na baadae kuendelea hadi mikoa ya Mwanza na
Kigoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa RAHCO Masanja Kadogosa wakati
akielekea kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kabla ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Shekhe Abubakary Zubeiry mara baada ya
kuweka jiwe la Msingi katika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
msanii Mrisho Mpoto mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi
huo wa Reli ya Kisasa Pugu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon