Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante ole Gabriel akiteta jambo na Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na wakati
waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Anastazia Wambura
wakati alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe
akisalimiana na baadhi ya wakurugenzi na wakuu wa Taaisi zilizo chini ya
Wizara yake wakati alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe
akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini za
Wizara Mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole
Gabriel (aliyesimama) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kabla ya
kuzungumza na waandishi wa habari kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Mhe. Anastazia Wambura.
Naibu
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura(kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuzungumza na waandishi
wa habari Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu
mikakati yake katika kuiongoza Wizara.
Baadhi
ya wakurugenzi wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe(hayupo pichani)
wakati alipokuwa akizungumza nao alipowasilikatika Ofisi za Wizara Mjini
Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.
EmoticonEmoticon