JINSI WANANZENGO JIJINI MWANZA WATAKAVYOPATA RAHA IJUMAA NA JUMAMOSI, WIKENDI HII

October 07, 2016
The Mingo itakuwa ni Ijumaa Oktoba 07,2016 ndani ya Club Rock Bottom, Gold Crest Hotel Jijini Mwanza ambapo Dj Mafuvu ataungana na Madjz wakali wa Mwanza kama Dj Hcue kutoka Lake Fm. Usikoseeeeeeeeee burudani hii kwa shilingi elfu 1o tu!
Na BMG
Balaa jingine la burudani ni ndani ya Rock City Mall, Jumamosi Oktoba 08,2016 ambapo Wananzengo watakuwa wakipata raha ya The Nyama Choma Festival huku jukwaani mkali AY akidondosha burudani. Pia madjz wakati kutoka Lake Fm Mwanza. Kwa Shilingi Elfu Kumi tu, unaburudika kuanzia saa 12 jioni hadi kucheeeeeeeee!

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »