Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiongea na
waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya kusaini hati
ya makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al
Fozan.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan
akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati ya
makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait. Kulia ni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia)
akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Kuwait, Mhandisi Yousef Al Fozan mara baada ya kusainiwa kwa hati ya
makubaliano ya safari za Anga kati ya Tanzania na Kuwait leo jijini Dar
es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kulia
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Kuwait (Kushoto katikati).Wengine katika picha hiyo ni
Maafisa kutoka Tanzania na Kuwait.
Picha na Eleuteri Mangi –MAELEZO.
Share this
EmoticonEmoticon