Wasanii
wa Kikundi cha Big Star wakitowa burudani kwa wimbo maalum wa Kapeni
wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk
Shein.zilizofanyika katika viwanja vya mpira vya Urafiki mikunguni
Unguja
Wanachama
wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya mkutano wa mkgombea
Urais wa Zanzibar kwa kupitia CCM wakishangilia kwa kupeperusha bendera
za Chama wakati wa mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya mpira
urafiki mikunguni Zanzibar,
Mwanachama wa CCM akishangilia kwa kuonesha picha ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Mhe Borafya Silima akiwahutubia wananchi katika
viwanja vya urafiki mikunguni akielezea mafanikio ya CCM yaliopatika
kutokana Ilani ya Uchaguzi ya miaka mitano ya Dk Ali Mohamed Shein,
wakati wa mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika
viwanja hivyo.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Seif Aki
Iddi wakiwa katika jukwaa kuu wakati wa mkutano wake wa Kampeni
uliofanyika katika Jimbo la Shaurimoyo Wilaya ya Mjini Amani Kichama
katika viwanja vya mpira vya urafiki mikunguni.
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Haroun Ali Suleima akiwahutubia wananchi
na kuzungumzia Ajira wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Uliofanyika katika Jimbo la Shaurimoyo
Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Kwahani Mhe Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwahutubia
Wanancxhi katika mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar na
kuelezea Ajira kwa Vijana katika Serikali ya Muungano wakati wa mkutano
huo uliofanyika katika viwanja vya mipira vya urafiki Zanzibar.
Wanachama
wa CCM wakifuatilia mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar katika uwanja
wa mpira wa urafiki mikunguni Zanzibar uliohutubiwa na Mgombea Urais wa
Zanzibar Dk Shein.
Balozi
Amina Salim Ali akiwahutubia Wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya
mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, uliofanyika katika viwanja vya
urafiki na kutowa Salamu za Umoja wa Mataifa kuhusiana na Zanzibar
kupiga hatua katika suala la Ajira kwa Vijana.
EmoticonEmoticon