Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi chama cha Mapinduzi taifa,Abdallah Bulembo akisalimiana na wanachama wa chama hicho mkoani Tanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Mkwakwani akifuatiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa wa Tanga,Dr,Edmund Mndolwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Gustav Mubba,Picha na Mwandishi Wetu.
Share this
EmoticonEmoticon