NA BONIFACE WAMBURA,DAR ES SALAAM.
Mabadiliko hayo yametokana na Serikali kuutumia uwanja
kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano ambazo kitaifa zitafanyika kesho
(Aprili 26 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaomba
radhi washabiki kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na mabadiliko hayo na ghafla.
Ratiba ya mechi nyingine za VPL zinabaki kama zilivyo.
Ligi hiyo inaendelea kesho (Aprili 26 mwaka huu) kwa
mechi kati ya Coastal Union na Azam itakayochezwa Uwanja wa Mkwakwani jijini
Tanga wakati Jumapili (Aprili 28 mwaka huu) itakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam ni Simba dhidi ya Polisi Morogoro.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF)
EmoticonEmoticon