Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati
akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini
Arusha leo,kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF,Michael Mhando na kulia
ni Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit
Rutazaa.
Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael
Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi
wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya
Taifa,Deusdedit Rutazaa akizungumza baada ya kuchaguliwa na kuhaidi
kutoa utumishi uliotukuka.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)wakiimba wimbo wa Mshikamano kuhamasisha umoja na maslahi bora kazini.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya
Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika
mkutano huo.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya
Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika
mkutano huo.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHIF.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa mfuko wa NHIF.








EmoticonEmoticon