Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya
Ilala, Rehema Msogoloni (wa pili kulia) akisaidiana na Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (wa
pili kushoto), kufunua kitambaa ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya
kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa TBL katika Shule ya Uhuru
Mchanganyiko, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
Winners iliyosimamia ujenzi huo, Balozi mstaafu Herman Mkwizu na Mwalimu
Mkuu wa shule hiyo, Anna Mshana.
Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya
Ilala, Rehema Msogoloni (wa pili kulia) akisaidiana na Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (wa
pili kushoto), kufunua kitambaa ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya
kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa TBL katika Shule ya Uhuru
Mchanganyiko, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
Winners iliyosimamia ujenzi huo, Balozi mstaafu Herman Mkwizu na Mwalimu
Mkuu wa shule hiyo, Anna Mshana.
Viongozi hao wakipongezana baada ya makabidhiano ya kisima hicho
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria
wa TBL, Kilindo akielezea mikakati mbalimbali ya kampuni hiyo katika
kusaidia jamii hasa katika sekta ya maji kutokana na faida ya mauzo ya
vinywaji vyao.
Herman Mkwizu ambaye Kampuni
yake ya Winners inajishughulisha na uboreshaji wa miundombinu ya maji
akielezea jinsi watakavyoendelea kuusimamia mradi huo wa maji.
Ofisa Elimu Taaluma wa Manispaa
ya Ilala, Rehema Msologoni akishukuru kwa niaba ya Serikali baada ya
kupokea msaada wa kisima hicho kutoka TBL.
Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Anna
Mshana akiishukuru TBL kwa msaada huo wa kisima ambao ni muhimu mno
hasa kwa wanafunzi wenye ulemavu wa shule hiyo waliokuwa wakiteseka
kutafuta maji.
Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu akizungmza wakati wa hafla hiyo
Wanafunzi wakifurahia kukabidhiwa mradi huo
Wanafunzi wenye ulemavu wa Shule
ya Uhuru Mchanganyiko, Abisina Rashid (kulia) na Rozalia Polycarp (wa
pili kulia), wakishiriki katika uzinduzi wa kisima cha maji kwa kufungua
maji baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kukabidhi msaada wa kisima
hicho kwa shule hiyo Dar es Salaam jana. Kisima hicho kitakachohudumia
pia Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa ujenzi wake ulisimamiwa na Kampuni
ya Winners. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Winners
iliyosimamia ujenzi wa kisima hicho, Balozi mstaafu,Herman Mkwizu,
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve
Kilindo (wa pili kushoto),Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya Ilala, Rehema
Msogoloni na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Anna Mshana.
Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya
Ilala, Rehema Msogoloni (wa pili kulia) akisaidia kumtwisha ndoo ya maji
Zarina Kigoma baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kukabidhi msaada
wa kisima cha maji kwa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Dar es Salaam
jana.Anayeshangilia kushoto ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Anna
Mshana.Kisima hicho kitakuwa kinahudumia pia Shule ya Sekondari ya
Benjamin Mkapa.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akinywa maji ya
bomba baada ya kukabidhi msaada wa kisima kwa Shule ya Uhuru
Mchanganyiko, Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Ofisa Elimu Taaluma
wa Manispaa ya Ilala, Rehema Msologoni na Mkurugenzi wa Kampuni ya
Winners iliyosimamia ujenzi wa kisima hicho.
Mwanafunzi mwenye ulemavu wa kuona akitoa shukrani kwa TBL kwa kuwapatia msaada huo muhimu kwao.
EmoticonEmoticon