Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mwanaidi Maajar baada ya
kuhutubia katika sherehe za siku ya Wanasheria Wananwakde Tanzania Tawla
, kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Mei 30, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) baada ya kuhutubia
katika sherehe za miaka 25 ya chama hicho kwenye viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam Mei 30, 2015. Aliyekaa wapili kulia ni balozi wa
Sweden nchini, Lennarth Hjelaker.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Uandishi wa Wosia
katiak sherehe za miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wananwake (TAWLA0
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Mei 30, 2015.Kushoto ni
balozi wa Sweden nchini, Lennarth Hjelaker.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
EmoticonEmoticon