Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania
mjini Abuja Nigeria leo May 29,2015.
Baadhi ya Watanzania wanaoishi
Nchini Nigeria wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akizungumza nao leo
May 29,2015 katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria leo
May 30,2015.
Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria
Mhe. Danniel Ole Njolai akimkabidhi zawadi ya saa iliyotolewa na
Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya
kuzungumza na Watanzania hao katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini
Abuja Nigeria leo May 29,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya
pamoja na Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria Baada ya kuzungumza nao
katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria leo May 29,2015.
(Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa
katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria Baada ya
kuzungumza nao katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria
leo May 29,2015. (Picha na OMR)
EmoticonEmoticon