Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Asha
Bilal, wakiteremka kwenye Ndege walipowasili Uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya
kuapishwa Rais Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika
Uwanja wa Ego Squar mjini Abuja Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Asha
Bilal, wakiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi Azikiwe
Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais Mohammadu Buhari
iliyofanyika leo May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar mjini Abuja
Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na
mtoto Ernest Nkayala alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi
Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais
Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar
mjini Abuja Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea shada la
maua kutoka kwa Mtoto Elin Mwandobo alipowasili Uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya
kuapishwa Rais Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika
Uwanja wa Ego Squar mjini Abuja Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia ngoma
za kabila la Kinigeria alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais
Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar
mjini Abuja Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia ngoma
za kabila la Kinigeria alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais
Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar
mjini Abuja Nigeria.
(Picha na OMR)
EmoticonEmoticon