Mshambuliaji wa timu ya Mtende akijaribu kumpita beki wa timu ya
Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja
wa Amaan Zanzibar timu ya Zimamoto imeshinda 1--0
Mchezaji wa timu ya Mtende Khatib Said (kushoto) na wa Zimamoto Hassan
Said wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar
uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda 1--0
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Ibrahim Hamad, akiwapita mabeki wa timu
ya Zimamoto, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja
wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda
1--0
Wachezaji wa timu ya Zimamoto Ramadhan Abdalla na wa mtende Khamis Said wakiwania mpira
Beki wa timu ya Zimamoto Ramadhan Abdalla na mshambuliaji wa timu ya
MtendeRangers Jumanne Seif wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi
Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto imeshinda
1--0.
EmoticonEmoticon