Mwandhishi wa Habari Muandamizi Zanzibar Bi Maryam Hamdan akifungua
Mafunzo ya Haki za Binaadamu na Sheria za SWaadishi wa Habari Zanzibar,
mafunzo hayo yamewashirikisha waandishi Waandishi wa Habari mbalimbali
Zanzibar, yalioandaliwa na Kituo cha Sheria Zanzibar ZLSC kwa
kushirikiana na Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar
(WAMAZA) yaliofanyika katika ukumbi wa kituo hicho migombani
Zanzibar.kushoto Katibu Mtendaji wa Tume ya UtangazajiZanzibar Ndg
Chande Omar na kulia Mwenyekiti wa WAMAZA Bi Salma Said
Washiriki wa Semina ya Waandishi wa Habari Zanzibar wakimsikiliza Bi
Maryam Hamdan akitowa nasaha zake na Kuwataka waandishi kutumia Kalamu
zao Vizuri wakati wa kuriopoti habari kwa wananchi.
EmoticonEmoticon