Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akitoa hotuba ya ufunguzi leo Mei 26,
2015 kwenye Kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini
kinachofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.
Wajumbe wa Kikao ambao ni
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchiniwa kifuatilia kwa makini
hotuba ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mbarak Abdulwakil(wa kwanza kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es
Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza Joel Bukuku.
Mshauri Mwelekezi katika
Maboresho ndani ya Jeshi la Magereza Nchini, Dkt. Haji Semboja kutoka
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwasilisha Mada ya Maboresho ndani ya
Jeshi la Magereza kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Magereza nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil kwenye kikao cha
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini kinachofanyika katika
Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(shati jeupe) akiwa kwenye picha ya
pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini waliosimama
nyuma(wa sita kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini,
John Casmir Minja(wa tano kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa
Magereza, Gaston Sanga(wa tatu kulia) ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Morogoro, Leonard Paul(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
EmoticonEmoticon