MARAIS WASTAAFU ALI HASSAN MWINYI NA JAKAYA KIKWETE WAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BALOZI SISCO MTIRO JIJINI DAR ES SALAAM

1
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
3
Mtoto wa Marehemu Omari Sisco Mtiro akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi.
4
Waziri Mkuu mstaafu Mzee Salim Ahmed Salim akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
5
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Mohamed Chande akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
6
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
7
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee Othman Rashid akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.

8
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
10
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete mwenye miwani na Mkurugenzi wa JP Solution Juma Pinto pamoja na waombolezaji wengine wakishiriki kumzika Marehemu Balozi Sisco Mtiro kwenye makaburi ya Kisutu leo
11 12 13
Sheikh Mkuu wa  Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Al Hadi Mussa mwenye koti pamoja na waombolezaji wengine wakishiriki katika mazishi hayo.
14
Mwili wa Marehemu Balozi Sisco Mtiro ukiwasili kwenye makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi yaliyofanyika leo mchana.
15
Kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete Mkurugenzi wa JP Solution Bw. Juma Pinto na Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh. Aden Rage wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.
16
Kutoka kushoto ni  Rais Mstaafu  Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mtoto wa Marehemu Omari Sisco Mtiro, Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu Mstaafu Jaji Mohamed Othman Chande wakiwa katika mazishi hayo.
17
Mzee Ali Hassan Mwinyi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakati alipowasili makaburini kwa ajili ya kushiriki katika mazishi hayo.
18
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete akiwasili makaburini tayari kwa kushiriki katika mazishi hayo.
19
Kutoka kulia ni Abas Mtemvu aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Temeke, Idd Azan aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kinondoni na Baraka Konisaga mkuu wa wilaya Mstaafu wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.
Powered by Blogger.