HAPA KAZI

4:59 AM

Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Tanga,Sixtus Nyaki akiwa ofisini kwake kama aliyokutwa na blog hii mwishoni mwa wiki,Picha na Oscar Assenga.

Tunafuatilia

1:00 AM

Mashabiki wa soka mkoa wa Tanga wakiufuatilia mchezo kati ya African Sports na Small prison mwishoni mwa wiki ambapo Small Prison ilishi...

11:03 PM

Mashabiki wakishuhudia mechi ya African Sports na Small Prisoni jana kwenye uwanja wa Mkwakwani ambapo Sports walikubali kichapo cha bao 1...

Salamu

4:53 AM

Picha wachezaji wa Azam Fc wakisalimiana na waamuzi kabla ya kuanza mechi hiyo jana kwenye uwanja wa Mkwakwani

mashabiki

12:29 AM

MASHABIKI wa Coastal Union wakishangilia baada ya mechi ya Coastal Union na Azam FC kumalizika ambapo timu hizo zilitoka suluhu pacha ya k...

POKEA mh.DC

3:00 PM

MRATIBU wa Chanjo wilaya ya Mkinga,Aisibo Maimu akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza risala ya chanjo wakati wa uzinduzi wa ch...

Ngoma Nzuri

3:44 AM

MKUU wa wilaya ya Lushoto,Alhaj Majid akiangalia ngoma ya wakina mama wa aliyokuwa ikichezwa wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli mbal...

TUNAPANDA MITI

7:31 AM

Afisa Tarafa   ya Mkinga, Qegen Mkinga akishiriki kwenye uzinduzi wa upandaji miti ambapo jumla ya miti 100 ilipandwa kwenye kata ya Duga ...

Powered by Blogger.